New

Select Option: Brown
Quantity
Fast Delivery
Secure Pay
Easy Returns
Viatu vya kifahari vyenye muundo wa crochet/lattice (matundu mazuri yaliyofumwa) unaoonyesha ustadi wa hali ya juu - chaguo bora kwa anayependa mtindo wa kipekee na wa asili. Cross-strap mbili na buckle ndogo huongeza umaridadi na mkao thabiti mguuni.
Sizes zinazopatikana: 37, 38, 39, 40, 41. Rangi: Brown, Black na Beige. Jipatie mtindo wa kipekee leo kwa bei nafuu!