New

Select Option: Beige
Quantity
Fast Delivery
Secure Pay
Easy Returns
Viatu vya kifahari kwa ajili ya mwanamke wa kisasa - vinachanganya urembo na starehe kwa matumizi ya kila siku. Muundo wa mesh yenye madoti mazuri (polka dot) hutoa mwonekano wa kipekee, huku strap ya Mary Jane yenye buckle ya dhahabu ikiongeza mguso wa umaridadi.
Sizes zinazopatikana: 37, 38, 39, 40, 41. Rangi: Beige na Black. Agiza sasa upate ubora na mtindo kwa bei nafuu!
Shoes & Footwear